Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kuna ushahidi mwingi kuanzia:Watu Kama nyie mkiulizwaga mna ushahidi gani...mnakuwa mabubu ghafla. Tatizo watanzania tunapenda Sana umbea sijui ndo pepo la nchi yetu?
Uuzwaji wa gesi kinyemela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ushahidi mwingi kuanzia:Watu Kama nyie mkiulizwaga mna ushahidi gani...mnakuwa mabubu ghafla. Tatizo watanzania tunapenda Sana umbea sijui ndo pepo la nchi yetu?
DP World pna maslahi makubwa sana kwa Taifa, hilo usiwe na shaka nalo kabisa.Hiyo si hoja kwa sasa . Hoja ni MKATABA WA DP WORLD unamasilahi? Hata kama aliolewa kabisa acha kuhongwa.
RA a.k.a King maker ni CIA a Havard student staionedin EA kuweka wamtakae na kuindoa wasiomtaka, ukiona anashabikia kitu ujue mahali hapo kuna wizi hajawahi kuwa na maslahi ya Tz hata sekunde 1
Kwamba miaka ya 60 RA alimsaidia Nyerere kuwa madarakani. Hebu hii rekodi yako iweke vizuri kwa kuweka hata mchuzi ni kavu sanaBila Rostam Nyerere urais angeusikia kwenye bombs. Kuweka rekodi sawa Raila hauzi gesi yoyote Kenya anauza/anatengeneza mitungi ya gesi
Hakuna gezi iliyouzwa, umedanganywa ukadanganyika.Kuna ushahidi mwingi kuanzia:
Uuzwaji wa gesi kinyemela.
Miaka ya 60 Rostam alikuwa mtoto mdogo sana au hajazaliwa.Kwamba miaka ya 60 RA alimsaidia Nyerere kuwa madarakani. Hebu hii rekodi yako iweke vizuri kwa kuweka hata mchuzi ni kavu sana
Mradi zinanitosha mwenywe, wewe isikusumbuwe.Wewe bibi hamnazo sana.
Ndio tunasema...na wajhinger wamezeeka
Umewahi kusikia gharama za uendeshaji mradi wa gesi bungeni?.Hakuna gezi iliyouzwa, umedanganywa ukadanganyika.
Unathibitisha pasipo shaka hauna weakness kwa nchi. Tutembee kifua mbele? Hayo ndio maneno mazuri yakusikiliza mkuu. Sasa kwahiyoDP World una maslaji makubwa sana kwa Taifa, hilo usiwe na shaka nalo kabisa.
DP World pna maslahi makubwa sana kwa Taifa, hilo usiwe na shaka nalo kabisa.
Yupo mtu amtuambia MSAGA SUMU hiyo habari ,kwakweli amezua taharuki jukwaaniMiaka ya 60 Rostam alikuwa mtoto mdogo sana au hajazaliwa.
Nisamehe kwa kauli hiyo sio ya kiungwa na naifuta but jitahidi uwe mtu wa haki kama dini yako inavyohubiriMradi zinanitosha mwenywe, wewe isikusumbuwe.
Aisee. Hawa ni heaven send? 100% kwa ajili ya Tz wao malengo yao hayo mengine ni yapi?DP World wapo tayari kufanya kazi kwa maslahi ya Tanzania 100% Malengo yao ni mengine kabisa.
Hapo ndio una haribu.DP World wapo tayari kufanya kazi kwa maslahi ya Tanzania 100% Malengo yao ni mengine kabisa.
Unathibitisha pasipo shaka hauna weakness kwa nchi. Tutembee kifua mbele? Hayo ndio maneno mazuri yakusikiliza mkuu. Sasa kwahiyo
1. Ni kweli kuwa utahusisha bandari zote Tz? Au si kweli. Thibitisha
2. Ni Kweli pia bandari ni sehemu ya muungano? Au si kweli?
Tumepigwa asubuhi na mapemaAisee. Hawa ni heaven send? 100% kwa ajili ya Tz wao malengo yao hayo mengine ni yapi?
Wanapata faida gani kwa kutupatia 100% wakiingiza gharama zao?.
Hayo malengo yasiyo WAZI ndio tatizo lenyewe, maana IGA haiko wazi
Kwa kauli hii twafaSiyo bandari tu. SGR, Industries, Free Trade Zones, Viwanda, lakini yote hayo wao wataifanya Tanzania kama investment centre yao ya Africa. Kihalali kabisa, tenna watazijeng bandari zote kisasa, siypofaida wachujuwe wao, faida ibaki hapa hapa iwanyanyuwe Watanzania.
Wao malengo yao mengine kabisa.
Yaani tutaona kila rangi. Ushahidi unaopinganaHapo ndio una haribu.
Watufanyie kazi kwa maslahi yetu?
Malengo yao yaliyojificha ni yapi?
Yapo wazi, inatakiwa ufikiri kidogo na usiwe based utayaelewa kiuwaxi kabisa.Aisee. Hawa ni heaven send? 100% kwa ajili ya Tz wao malengo yao hayo mengine ni yapi?
Wanapata faida gani kwa kutupatia 100% wakiingiza gharama zao?.
Hayo malengo yasiyo WAZI ndio tatizo lenyewe, maana IGA haiko wazi
Nimekuelewa we ni mwanafunzi wa CUBA. Asante wengine tulisoma Parane huko Njiro KilomberoSiyo bandari tu. SGR, Industries, Free Trade Zones, Viwanda, lakini yote hayo wao wataifanya Tanzania kama investment centre yao ya Africa. Kihalali kabisa, tenna watazijeng bandari zote kisasa, siypofaida wachujuwe wao, faida ibaki hapa hapa iwanyanyuwe Watanzania.
Wao malengo yao mengine kabisa.
Tunapaswa kukaza kuwapinga, hapa tutarudishwa utumwani.Yaani tutaona kila rangi. Ushahidi unaopingana