Muonekano mpya wa Azam Complex, Uwanja wa klabu ya Azam

Hii dugout ya kisengeee kweli. Sasa kocha akikaaa hapo kwenye kiti anaona miguu ya wachezaji🤣🤣🤣🤣
Wao wangeacha vile vile tuu flat wangebkresha tuu viti basi.
Kuna siku kocha atakula mweleka hapo katika furaha za kushangilia 🤣🤣🤣🤣
 
AC millan ,Inter Millan hawana uwanja
Ni moja ya sababu imechangia kupoteza ushindani wa kifedha na timu za Hispania na Uingereza.
Juventus waliweza kufanya usajili wa wachezaji Kama Ronaldo kwa sababu walikuwa na mapato ya ziara ya uwanja.
 
Asante kwa taarifa

Ila designer(s) wa hawa jamaa wanakula pesa tu, Azam walipaswa wawe na uwanja mkali sana + facilities nyingine...
Kamaa kawaida yenu wabongo mnaanza kukosoa!!

Umechangia sh ngapi kwani? Ushauri wako peleka kwa timu zenu za kariakoo
 
Ile timu ya fujo si itaving'oa hivyo viti vyote
 
Kamaa kawaida yenu wabongo mnaanza kukosoa!!

Umechangia sh ngapi kwani? Ushauri wako peleka kwa timu zenu za kariakoo

Kama kawaida yenu watanzania, huwa hampendi kupewa ushauri kwa sababu mnaamini kila mnalofanya mnafanya sahihi na ushauri wowote huwa mnaita kukosoa, kufanya uchochezi...
 
Dah jf inavipanga walimu wazazi na kila fani hakika ww ni hazzina umeongea kwà experience ya hali ya juu na hili kila mmoja anajiona ana hatia tunataka kumiliki jkiwanda kikubwa kuliko more na baharesq lakin shining tukiipatA tumefanyia anasa
Uko sahihi, hili nalizungumza kwa experience yangu binafsi. Anza na ulichonacho, Mungu akiona juhudi zako atakuongezea hadi wazo lako litakua zaidi ya hata ulivyokuwa umeliwaza hapo mwanzo.

Usisahau pia kuweka mawazo na mipango yako katika maandishi, hili ni muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…