Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Katunzi yupi mkuu
Mke wake mbona alisemaga issue ya kufumania sms za kimapenzi kutoka kwa katunzi, ila wanazengo mnasahau haraka... alioana na yule dada wa ki zanzibar mpaka mtoto wakazaa , ila bibie alikua hamuelewi bob junior na katunzi mahusiano Yao , mbona kila kitu aliwekaga wazi, waja na nyie mxiee
 
Huyu jamaa alikuaga mweusi kama wachezaji wa Guinea-Bissau

Akaanza kubadilika taratibu
d5fccc29167cd6cc.jpg
 
Amber Rutty inabidi akapate mafunzo ya kujipodoa kwa huyu jamaa maana si kwa mabaka yale
 
Back
Top Bottom