Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Katunzi nani?Mke wake mbona alisemaga issue ya kufumania sms za kimapenzi kutoka kwa katunzi, ila wanazengo mnasahau haraka... alioana na yule dada wa ki zanzibar mpaka mtoto wakazaa , ila bibie alikua hamuelewi bob junior na katunzi mahusiano Yao , mbona kila kitu aliwekaga wazi, waja na nyie mxiee
Em dadavua hapo
Huyo katunzi ana wadhifa gani hapa Mjini???