Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Muonekano mpya wa Bob Junior unatia mashaka kidogo

Huna picha ya Joh 001?
1149740


1149741
 
..ila alikuwa anakata Uno hatari, kitambo sana kuelewa uenda waja wanafukunyua!
 
Kiukweli mm natafakari hizo pic kwenye t-shirt yake sijui zina ujumbe wwt anajaribu kutufikishia wadanganyika!!!?
 
Toeni stress zenu zote kwa kuwasema watu vibaya. Hamjamshuhudia kama ni shoga. Anaweza kuwa ni mshamba tu wa picha na fashion.
 
[emoji444] Tenda wema usingoje shukrani Cheka na watu wote[emoji445] Muzamiri Katunzi Bibi yangu alinambia Cheka na watuuuuu[emoji445] -in Christian Bella's voice-
Huyo wachina walimpiga pasi hapo mbele zamani sana
 
Back
Top Bottom