Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

sialikuwaga kwenye kampeni za ccm na akamtukana roma alivyo achia ngoma ya viva Roma chid hana adabu
 
Kuna yule mwenzie niliziona picha zake zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo zilifana na zile symbols za chemical hazard ya toxic

ImageUploadedByJamiiForums1458408165.169657.jpg

Jina nimemsahau ila nikimuona hio image inanijia'

Madawa ya kulevya ni hatari
 
!
!
Chonde chonde sisemu msanii wenu huyu anadhalilika, hebu msaidieni. Kala Jeremiah, Roma Mkatoliki, Sugu, Prof Jizze and alike ndio bendera za Ukawa.
 
Mungu anaweza msaidia its not too late.vijana wote wakike na wakiume tujifunze hapa na tuwalinde ndugu,rafiki,majirani na wengine ili wasiweze kuingia huko.na kama wameshaingia tuwasaidie hata kwa ushauri japo ni wabishi kweli na niwaongo pale unapowauliza ukitaka kuwasaidia yaani wanakua wakali kweli.mpka wanapofikia stage ambayo hawawezi ficha tena .
Chid bado Ana muda wakuweza badirika.tatizo mpka yeye mwenyewe aamue vinginevyo inakua ngumu sana kuwasaidia japo inabidi tusichoke.najua familia inaumia sana .
 
Tatizo vijana tunajisahau, tukipata mafanikio kidogo tu tunaanza zinaa na uchafu wote, tunamsahau mungu, tunafanya kila aina ya starehe, tukiamini nguvu ya umaarufu, matokeo yake ndio haya
Yaah kiukweli anasa zinatupoteza wengi ila cha ajabu mifano hai ipo ila tunajidai hatuioni hili la kusema sheitwan tujaribu kumpa break ila kiukweli hali inatisha hasa kwa hao maarufu ndo kabisa.
 
NA WALAANIWE WAUZA UNGA WOTE. NA WATAKA MEMA KWA JAMII YETU WOTE TUSEME AMINA.
 
Mimi hawa presenters wa clouds ni wanafiki sana, huyu jamaa kipindi kile Ray C anamshauri aachane na madawa walikuwa wanatake side na kumtetea kam vile jamaa anachofanya ni sawa mbaya zaidi wlikuwa wanampa airtime ya kukanusha kuwa hatumii madawa wakati wanajua kabisa anatumia

Leo hii watu wanajifanya wanasikitika, kama kweli walikuwa wanampenda mchizi wangemsaidia kutoka huko alipo
 
Dah hyo picha ya after sio fiction kweli, yan chid benz amekua na mwili mdogo ka young killer?
 
jamaa kawa kama ZYGOTE,
SAY NO TO NGADA...
bado moto wanaousema upo huko JEHANAMU!
 
Mungu anaweza msaidia its not too late.vijana wote wakike na wakiume tujifunze hapa na tuwalinde ndugu,rafiki,majirani na wengine ili wasiweze kuingia huko.na kama wameshaingia tuwasaidie hata kwa ushauri japo ni wabishi kweli na niwaongo pale unapowauliza ukitaka kuwasaidia yaani wanakua wakali kweli.mpka wanapofikia stage ambayo hawawezi ficha tena .
Chid bado Ana muda wakuweza badirika.tatizo mpka yeye mwenyewe aamue vinginevyo inakua ngumu sana kuwasaidia japo inabidi tusichoke.najua familia inaumia sana .
Mkuu kwa madawa aliyokuwa anatumia jamaa ni ngumu sana kuacha, hata akifanikiwa, hawezi kuwa kama mwanzoni tena HEROIN IT'S A HELL OF DRUG
 
Hapo ukimuuliza vip unabwia unga atabisha,,,sijui kwann aliamua kula sembe..
 
Naona kajaribu..kashindwa.
Duh

Pole yake sana.

Africa Renaissance Monument(Avatar^^)- "It brings to life our common destiny.Africa has arrived in the 21st century standing tall and more ready than ever to take its destiny into its hands"
 
Back
Top Bottom