Yaah kiukweli anasa zinatupoteza wengi ila cha ajabu mifano hai ipo ila tunajidai hatuioni hili la kusema sheitwan tujaribu kumpa break ila kiukweli hali inatisha hasa kwa hao maarufu ndo kabisa.Tatizo vijana tunajisahau, tukipata mafanikio kidogo tu tunaanza zinaa na uchafu wote, tunamsahau mungu, tunafanya kila aina ya starehe, tukiamini nguvu ya umaarufu, matokeo yake ndio haya
Duuh! asee atakutafuta akitoka sobaNilidhani Huddah......
Ila jamaa kaisha sana. Hili funzo lakini wengine watajifanya kama hawaoni vileKwani uongo..?? Alivyo kwa sasa anafanana sana wale aliens... LABDA KAMA HUTAKI UKWELI
Mkuu kwa madawa aliyokuwa anatumia jamaa ni ngumu sana kuacha, hata akifanikiwa, hawezi kuwa kama mwanzoni tena HEROIN IT'S A HELL OF DRUGMungu anaweza msaidia its not too late.vijana wote wakike na wakiume tujifunze hapa na tuwalinde ndugu,rafiki,majirani na wengine ili wasiweze kuingia huko.na kama wameshaingia tuwasaidie hata kwa ushauri japo ni wabishi kweli na niwaongo pale unapowauliza ukitaka kuwasaidia yaani wanakua wakali kweli.mpka wanapofikia stage ambayo hawawezi ficha tena .
Chid bado Ana muda wakuweza badirika.tatizo mpka yeye mwenyewe aamue vinginevyo inakua ngumu sana kuwasaidia japo inabidi tusichoke.najua familia inaumia sana .
DuhNaona kajaribu..kashindwa.