BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Nilijua aliens
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rule of the jungleN survival of the fittest...!
Wastage of funds n time ...alikamatwa airport live na madawa akakiri kuwa ni yake lakini ikafanyika namna hakupelekwa chuo cha mafunzo kwakuwa tu ni Chid Benz...kumbuka kuna watu wanaozea jela kwa kesi za kusingiziwa....mmmh,kwa mpukutiko huo haiwezi kuwa ngada pekee,nadhani na papuchi zimechagiza mpukutiko wake,aweke wazi anataka tumsaidiaje wanaume tuingie kwenye media tu-raise funds
Hiyo nayo ni ADDICTION mojawapo na madhara yake yanaanzia Kwenye Ubongo mpaka mwilini.jamani kwani mbunye hazitoshi
Wastage of funds n time ...alikamatwa airport live na madawa akakiri kuwa ni yake lakini ikafanyika namna hakupelekwa chuo cha mafunzo kwakuwa tu ni Chid Benz...kumbuka kuna watu wanaozea jela kwa kesi za kusingiziwa....
Upendo sawa uwepo lakini na hekima pia
Acha uongo T.I kwy kili awardsDah! Siku za Dar es salaam stand up haziwezi kurudi tena, huwa kuna nafasi moja Tu huwa inatokea, Chid yule anafanya show moja ya Kilimanjaro award then T.I Kama msanii mkubwa toka Marekani anaalikwa kwenye utoaji tuzo ule, wakati unafanya show ya nguvu kwa ngoma zako kali Naitwa nani! Babe ft Ray C, T.I ananukuliwa akiwauliza wenyeji wake alokaa nao.... "Huyu Ni nani?"...anaambiwa huyo Ni mwana Hip Hop anayekimbiza bongo, Na baadaye unashinda tuzo, T.I mwenyewe anakupatia tuzo, Na uhakika uliambiwa jinsi T.I alivyouliza kuhusu wewe, Leo kina Diamond wakipata nafasi Kama hizo wanazitumia hapo hapo, Ni vipi ungefanya ngoma Na T.I wakati ule, bila shaka ungekua mbali, all in all madawa yamekupoteza, sidhani Kama utapata msaada kwenye muziki wako tena, Sana Sana makosa yako wacha yatumike Kama funzo kwa vijana wengine, Na wenyewe wasipojifunza kwako! Wacha yawakute Tu, hatuna namna....sorry Chid Benz, fulsa huwa Ni Mara moja Tu!
mfupa hauna ulimi mkuu alikua CassidyAcha uongo T.I kwy kili awards
Alisha mchapaga makondeMe namshauri amuoe Ray C ndo itakua poa sana
Ahahahah kudadekiiNilijua aliens