mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Uhoni wanaofurahi matatizo ya Chidi ni machagadema.Aisee!! Wachaga wameingiaje tena hapo?
Au hujaishirikisha akili jombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhoni wanaofurahi matatizo ya Chidi ni machagadema.Aisee!! Wachaga wameingiaje tena hapo?
Au hujaishirikisha akili jombaa
Una uhakika gani kama huyu sio Malisa unayemfahamu kupitia Fb?useme sasa cop n paste from godlisten malisa
Uhoni???Uhoni wanaofurahi matatizo ya Chidi ni machagadema.
Ha ha hahahahaaaaaaa Nimecheka sana LeoDuuh nilidhani,mzee Kingunge.
[emoji23] masihara ya kweli, mara ya kwanza nilivyoona pic nilidhani Amber Rose.Yani kawa kama Amber rose dah!
Maneno yako makali sana jaribu kuvaa viatu vya wazazi wa chid halafu ndio uzungumze.Mungu anamueleleza na Mungu wa siku hizi yuko bize na mapya .
Chid alizidi dharau kila baya lake mwache aule wa chuya kwa uvivu wa kupembua
Nimeziweka tena zichekiPicha hazifunguki
Nimezieka tena zichekiHazifunguki mbona