Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Mungu anamueleleza na Mungu wa siku hizi yuko bize na mapya .
Chid alizidi dharau kila baya lake mwache aule wa chuya kwa uvivu wa kupembua
 
Mungu anamueleleza na Mungu wa siku hizi yuko bize na mapya .
Chid alizidi dharau kila baya lake mwache aule wa chuya kwa uvivu wa kupembua
Maneno yako makali sana jaribu kuvaa viatu vya wazazi wa chid halafu ndio uzungumze.
Maisha ni safari huwezi jua ni msukumo gani umempelekea huyu jamaa hapo alipofikia.

Mungu atusaidie tuwe na moyo wa kusaidia wenzetu na kuwaonea huruma.
 
Msanii Chid Benz kupitia kundi la whats app la wasanii tz ameandika haya lengo la kuweka hizi screen shot ni kuonyesha kuwa chid benz amekubali kosa aliofanya na anahitaji support toka sie wadau wa mziki na mashabiki pia liwe fundisho kwa wasanii wa Tanzania na jamii kiujumla.
Chid Benz anahitaji nafasi ya pili na faraja kipindi iki tusimvunje moyo kashatambua kosa lale na kujikwaa sio kuanguka.
 

Attachments

  • IMG-20160319-WA0012.jpg
    55.2 KB · Views: 35
  • IMG-20160319-WA0011.jpg
    57.7 KB · Views: 31
  • IMG-20160319-WA0010.jpg
    58.6 KB · Views: 24
  • IMG-20160319-WA0009.jpg
    39.9 KB · Views: 27
Ukianguka unasimama tena na maisha yanaendelea
 
chid Benzi, kuumwa si kufa, ila kuumwa ni dalili ya kifo, nina imani Utapona kwa msaada wa maombi, pili ukipona hachana na kujiingiza kwenye masuala ya siasa, piga mziki kaka, nchi imedilika hii sio kama hinzi zile mnafanya siasa mnaingia ikulu kma Gest, raisi aliyepo ikulu anajua thamani ya jengo lire jeupe, kwa kukushauir nenda SOBA HOUSE KIGAMBONI. ulitukana sana kaka ulimtumsi mtumishi wa Mungu LOwasa wacha yakukute, ila NAMUOMBA LOWASA KAMA YUPO UMU Amsaidie chidi apone.
 
jamii forum ni jipu na mnatia aibu hivi mnashindwa rekebisha hili swala mnatutia aibu bana lol kufungua pia ni tabu maisha gan haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…