bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,205
- 2,905
asmaa80 kubaliana na Mimi huwa unataka watu wanaomshutumu huyo jamaa waache Mara moja kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja. Lakini uelewe hapa dunani lisemwalo lipo hakuna linalozuka bila kuwa na chanzo. Picha uliyonifurahisha ni kwamba hupendi madawa na madhara yake unayajua jinsi yanavyoumiza ndugu na jamaa zetu.Halaf wewe umenifanya nimecheka kwa nguvu sana, Sijawahi tetea mtu wa Ngada na pia Sipendi kinachofanywa na hao watu wa NGADA Madhara yake nayajua, kama kuna mtu nimemtetea basi itakuwa alionewa, au wanapenda kumtia sana midomoni ukiacha na hayo huyu chidi sasa kosa lake nini?? kisa kawaimba ukawa ati asisaidiwe hivi Mungu angekuwa anahukumu kwa makosa yetu nani angebaki hapa duniani? yani hata chidi benz mnataka kupatia umaarufu kupitia janga lake??
Ngwea,langa,banza, na wengine wanaoendelea kutumia ambao definitely mwisho wao ni mbaya wakuguse na wewe na usimtetee mtu yeyote anayehusishwa na kuharibu jamaa simply anatengeneza millions of money. Pesa na vyote tutaviacha Ona wazazi wa hawa waathirika hasa mamake chid anavyolia, it hurts