Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Kufuata mkumbo wewe umezaliwa mpk umekuwa mtu mzima unajitambua, unatengeneza kipato kizuri kinachokufanya uanze kuvuta madawa ni nn kama sio mkumbo. Mkumbo haufai, iga mambo yanayojenga sio kubomoa
 
Wachaga wa chadema wamefurahiii
Mkuu @mrgentleman kuwa na busara kidogo,hii issue ni seriously tunazungumzia maisha ya mtu hapa sio makabila kama unataka kuelezea makabila ya watu nenda makumbusho ya taifa ukasaidie kutoa kisomo kule kama wanahitaji,we unadhan ukipata matatizo kabila lako litakusaidia nini,kila kitu ukabila ukabila tu usiwe popoma tumia hiko kichwa vizuri sio kubadilishia mitindo ya nywele.
 
Humu ndani watu wanajifanya wao wasadi kweli,yan kama hawana makosa yao.Acheni uzandiki mshikaji anahitaji msaada,au mnataka afariki halafu baadae mjitie unabii kuwa mlijua tu kuwa atakufa.Chid benz mungu atamsaidia na atarudi katika hali yake ya kawaida
 
Amber Rose wa BONGO
 

Attachments

  • chidi.jpg
    chidi.jpg
    22.6 KB · Views: 55
Mwenyewe anasema ni stress tu akimuona Diamond anavyopiga hatua sio sembe hahahahahaha chid bhana aanze methadone mbona ni bure tu
 
Mtoto akililia wembe mpatie, mbona wenzake wanakuwa wabunge ?lazima afanye toba
 
Kuchuliana huku" nimescroll mpaka mwisho niljua mwisho kuna R ai nn cjui"
 
Back
Top Bottom