Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Huyo ray c mwenyewe umemuona alivyo sasa? ? UnampitaKama nakumbuka ray c alitaka kumsaidia huyo jamaa but mshkaji alitaka kumpiga yaani jamaa ngumi mkononi
Roma anakula nadawa??wauza drugs wako ccm ndio wafadhili wakubwa wa ccmVipi Roma, ile viva imemfikisha wapi? Na Mondi ile version yake ya sisiemu namba one vipi?
Mkuu @mrgentleman kuwa na busara kidogo,hii issue ni seriously tunazungumzia maisha ya mtu hapa sio makabila kama unataka kuelezea makabila ya watu nenda makumbusho ya taifa ukasaidie kutoa kisomo kule kama wanahitaji,we unadhan ukipata matatizo kabila lako litakusaidia nini,kila kitu ukabila ukabila tu usiwe popoma tumia hiko kichwa vizuri sio kubadilishia mitindo ya nywele.Wachaga wa chadema wamefurahiii
Mbona wewe huku copy na ku past humu,sasa kama sio huyu kuicopy sisi tungeionaje?shida umekuwa mchoyo sio tabia nzuri mkuu.useme sasa cop n paste from godlisten malisa
Hata mm nilitoka kuulizaNaomba kuuliza chid benz hakuwa na jema hata moja aliowahi kutenda siku za nyuma? Mbona umeandika matendo yake mabaya tu?
Kuzungumza ukwel ndio siasa?? We ndo huelewiWewe nawe kila kitu unaleta SIASA, Ushindwe.
Hahahahaaaa,dah sio mazur ila imenibidi tu nicheke...hapo kweny mtoto njitiHaya sasa Lowassa anatesa mtaani Chid amekuwa kama mtoto njiti..*****