Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Madawa haya ni hatar kwa nguvukaz ya taifa...lkn mamlaka husika wanakamata vidagaa wanayaacha manyangumi ya biashara hii.
 
yeye anasema amelogwa.
 
Vijana wa Kitanzania lazima tujifunze, lakini pamoja na yote hivi hawakumouna Banza Stone alivyokuwa? Nilifikiri pale kwa Banza Stone tuliona kitu fulani cha kujifunza, yaonekana bado tumekuwa wagumu wa kuamini sembe sio nzuri.
tatizo wangaangallia movie wanadhani yale ni ya kweli,,,,,, kiukweli wamekuwa wagumu kuelewa aisee
 
Inno alikuwa mtu ambaye usingeweza kutegemea
kwamba leo angekuja
kuchanganyikiwa akili
au angekuja kutumia madawa ya
kulevya ni basi tu, nadhani ni
kutokusikiliza la mkuu.
 
Siishiwi mifano ya fasihi kweli
siishiwi maneno
siishiwi masomo ya tahadhari
tuwe na msimamo
hatua kwa mtazamo usije
ukalikanyaga shimo ukabaki humo humo ukashindwa
kutoka kama Inno.
Ali'ignore wazazi walipomsihi
ajipange
leo ana ugonjwa wa uchizi na kila
siku mirembe wala sio shauri ya bange poda
ndo iliyomchanganya
aliyochanganya wazazi wote
mtaani kutupa lawama
sababu walijua si ndo tulikuwa
kaka zake kwahiyo kama tulijua kwa nini
habari tusiwape. Yupi anamuuzia kete, yupi
anamfanya avute
wazazi walitaka wajue wabaya
wakakamate washafanya kila kitu na bado
kijana mteja
kwenye familia yake ye ndo
kaka ye ndo mkubwa.
Baba kaishiwa shauku, mama
anamuomba Mungu akijiuliza kila siku kafanywa nini
mwanangu
anadata akienda milembe akirudi
amepona
damu yake ikikosa unga akili
yake inakuwa nzima tatizo hana stahimili baada ya
miezi miwili utashangaa
yupo maskani na mateja anapata
mbili.
Mpaka leo ameshindwa kuepuka
suala la madawa anaendelea kupinda akili yake
inazidi pagawa......
 
Unga sio siri anaupenda anakiri
kuucha sio sawa.
Bora awe mjinga na akili ye na
unga kama kawa.

Alikuwa mtoto wa kishua maisha
akayachezea
jinsi alivyokuja kuwa hakuna
aliyetegemea.
Cheki maisha anayoishi sasa
anavyosikitisha...Chekimaisha anayoishi sasa
anavyosikitisha.
 


Alikuwa ni Chingy kipindi kile ndugu sio T.I kama ulivyosema.
Ila umenikumbusha mbali sana wakati mshkaji anapanda kumpa chidy tuzo yake huku linapigwa dar stand up, muhuni akawa analicheza goma kwa madoido yote yani.
Mungu atampa nafuu chuma.

"Nlikuwepo":bolt:
 
anakwambia...chichic chich chich chidi benzzzzzz
 
Mambo ya kuiga ndio matatizo yake, wasanii wengi tu wanabwia Unga na bado hawajajifunza kitu, mtalosti acheni hiyo kitu.
 
"Mungu nipende usije nichukia... Maaaana Mi ni mzembe mengi napuuziaa... "Pole sana chid...
 
Hvi sembe inanenepesha au kupunguza? Ray c kawa bonge hatari chidi kawa bajaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…