Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Wachache sn watakuelewahawa watu ni watumishi wa shetani lazima ahakikishe mwisho wao unakuwa mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache sn watakuelewahawa watu ni watumishi wa shetani lazima ahakikishe mwisho wao unakuwa mbaya.
Methadone inanenepesha.mbona Ray C yeye alinenepa?
yeye anasema amelogwa.Chidi benz ulishinda battle nyingi saana kuanzia battle ya kutoka kuwa underground mpaka superstar wa hip hop bongo ulieweka kwapani tuzo kadhaa.
Ukuishia hapo tu, jukwaani na mtaani uliingia kwenye battle za ngumi kavu kavu bado kote ulishinda.
Nazijua beto kibao ambazo umefight na kushinda...C'moon Chid hii ishu ya madawa ni mchumba tu kwako kama wachumba wengine uliowakalisha kibabe...najua wewe ni dume jeuri. Ukiamua kweli kufight naye huyu madawa utamnyoosha mapema saana. Amua sasa dume.
tatizo wangaangallia movie wanadhani yale ni ya kweli,,,,,, kiukweli wamekuwa wagumu kuelewa aiseeVijana wa Kitanzania lazima tujifunze, lakini pamoja na yote hivi hawakumouna Banza Stone alivyokuwa? Nilifikiri pale kwa Banza Stone tuliona kitu fulani cha kujifunza, yaonekana bado tumekuwa wagumu wa kuamini sembe sio nzuri.
hata mimi mara ya kwanza nilidhani picha duka wamechanganya kichwa cha chid na kiwiliwili cha kingunge kumbe ndo new look.Kavaa shati la Kingunge.
Kuna clip moja ilitupiwa youtube 2014 jamaa alikua analalamika jinsi chid alivowafanyia dharau na mwishoni alizungumzia ishu ya madawa na bangi
Dah! Siku za Dar es salaam stand up haziwezi kurudi tena, huwa kuna nafasi moja Tu huwa inatokea, Chid yule anafanya show moja ya Kilimanjaro award then T.I Kama msanii mkubwa toka Marekani anaalikwa kwenye utoaji tuzo ule, wakati unafanya show ya nguvu kwa ngoma zako kali Naitwa nani! Babe ft Ray C, T.I ananukuliwa akiwauliza wenyeji wake alokaa nao.... "Huyu Ni nani?"...anaambiwa huyo Ni mwana Hip Hop anayekimbiza bongo, Na baadaye unashinda tuzo, T.I mwenyewe anakupatia tuzo, Na uhakika uliambiwa jinsi T.I alivyouliza kuhusu wewe, Leo kina Diamond wakipata nafasi Kama hizo wanazitumia hapo hapo, Ni vipi ungefanya ngoma Na T.I wakati ule, bila shaka ungekua mbali, all in all madawa yamekupoteza, sidhani Kama utapata msaada kwenye muziki wako tena, Sana Sana makosa yako wacha yatumike Kama funzo kwa vijana wengine, Na wenyewe wasipojifunza kwako! Wacha yawakute Tu, hatuna namna....sorry Chid Benz, fulsa huwa Ni Mara moja Tu!
swaga za jamaa za kuvuta hewa kwa nguvu duh.. ila ndiyo tushampoteza chidi
ndiyo kasha jiaribu tena wahiiiiAnaweza recover
Lakini jamaa nilikuwa namkubali kuliko ma hip hop artists wote wa Bongo