Mambo ya babu sadali hayo.Mambo magumu sana haya baada ya silaha nadhani yenyewe ndo inafuatia kwa kuwa na super profit sijui inakuwaje biashara za khatari ndo zina faida kubwa.
Leo ya jana sio jana ya juzi maisha yanakwenda kasi sana...baada ya miaka 50 kutakuwa hakuna wazee kabisa...Hata Banza stone tuliambiwa ni madawa ya kulevya lakini tukaambiwa (fungus ya Ubongo -HIV) Jamii yetu inaficha mambo mengi...huyu Jamaa ni zaidi ya Madawa ya kulevya..