Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Mambo ya babu sadali hayo.Mambo magumu sana haya baada ya silaha nadhani yenyewe ndo inafuatia kwa kuwa na super profit sijui inakuwaje biashara za khatari ndo zina faida kubwa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1458380041.681894.jpg
 
Papapa papapapaa wamekaa..papapaaa wamekaaaa...wananikubali kiaina wanani kubali kiaina!
 
Kapata alichokuwa anakitafuta, hongera zake
 
Mikono mvululu yaani paa..paa.. wamekaa!!
 
Leo ya jana sio jana ya juzi maisha yanakwenda kasi sana...baada ya miaka 50 kutakuwa hakuna wazee kabisa...Hata Banza stone tuliambiwa ni madawa ya kulevya lakini tukaambiwa (fungus ya Ubongo -HIV) Jamii yetu inaficha mambo mengi...huyu Jamaa ni zaidi ya Madawa ya kulevya..
1458382425035.jpg

1458382438834.jpg
1458382450013.jpg
 
Back
Top Bottom