Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Duh mimi si mpenzi wa bongo music hata kidogo lakini nimeumia sana kuona hiyo picha kwani mwaka Jana Chid Benz alifanya show Kakola Kahama akiwa na mwili wenye afya kabisa!! Sasa masikitiko yangu ni watu hapa jamii forum wanavyomtukuna maskini wa mungu anayeomba msaada hata wa kimawazo tu kwa Watanzania na wasamaria wema. Duh Watanzania roho mbaya hadi wengine wamegusia kuwa alikuwa anamtukana Lowassa!!! Mimi mwenyewe nilikuwa team lowassa na hadi leo namkubali mzee lkn chuki za kwenye siasa siwezi kuzileta kwa mtu anayehitaji msaada. Duh Tanzania nchi niliyoaminishwa ina watu wenye mioyo mizuri lkn kwa sasa hawana tofauti na Mazombi ya Shein Zanzibar. Chid Benzi nakuombea kwa mungu kuanzia leo katika kipindi hiki cha Kwaresma taweka sala maalumu kwa ajili yako. Nakupenda kama kaka na kama mwana mpotevu ambaye umekumbuka makosa yako na kurudi kuomba msamaha kwa Watanzania wakusaidie ila bahati mbaya wengi washakuwa kama kundi la ISIS kwa mioyo ya kishetani. Mungu aliyekuumba hatakuacha uteseke na hakuna lisilowezekana ukimtumaini mungu atakuponya.
 
haya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
sio kila mahali uingize siasa we lofa
 
Chid kwanini unavuta unga?Kwanini usingeishia kwenye Indian Hemp yetu tu ilikua poa haijakuharibu bana
..Na nyie mnaotajirika kwa kuua watoto wa wenzenu kwanini msiende kuuzia nchi nyingine?
 
Mkali wa Lafamilia mkali wa Ilala amekwisha.... Hana jipya tena.
 
Diamond na Chidy ni marafiki sana i hope atamsaidia
 
Mwisho wa siku tumekaa kibarazani tunapiga umbea sijaona hata mmoja kaja na ushauri wa maana kuhusu huyu kijana...na hao walomuibua huko alikokuwa ni ushambenga tu na kumchoresha binaadamu mwenzao mwenye kuhitaji msaada
sasa si uanze wewe kushauri?! by the way hakuna aliyejua hupo katika hali mbaya hivi.... kama c kumuona clouds tv jan a mmmmh
 
Duh mimi si mpenzi wa bongo music hata kidogo lakini nimeumia sana kuona hiyo picha kwani mwaka Jana Chid Benz alifanya show Kakola Kahama akiwa na mwili wenye afya kabisa!! Sasa masikitiko yangu ni watu hapa jamii forum wanavyomtukuna maskini wa mungu anayeomba msaada hata wa kimawazo tu kwa Watanzania na wasamaria wema. Duh Watanzania roho mbaya hadi wengine wamegusia kuwa alikuwa anamtukana Lowassa!!! Mimi mwenyewe nilikuwa team lowassa na hadi leo namkubali mzee lkn chuki za kwenye siasa siwezi kuzileta kwa mtu anayehitaji msaada. Duh Tanzania nchi niliyoaminishwa ina watu kwenye mioyo mizuri lkn kwa sasa hawana tofauti na Mazombi ya Shein Zanzibar. Chid Benzi nakuombea kwa mungu kuanzia leo katika kipindi hiki cha Kwaresma taweka sala maalumu kwa ajili yako. Nakupenda kama kaka na kama mwana mpotevu ambaye umekumbuka makosa yako na kurudi kuomba msamaha kwa Watanzania wakusaidie ila bahati mbaya wengi washakuwa kama kundi la ISIS kwa mioyo ya kishetani. Mungu aliyekuumba hatakuacha uteseke na hakuna lisilowezekana ukimtumaini mungu atakuponya.
we ni binadam
 
Haya madude ka mimba utaficha weeee Mwisho wa siku kitu wazi ka ya mbuzi
 
Mwisho wa siku tumekaa kibarazani tunapiga umbea sijaona hata mmoja kaja na ushauri wa maana kuhusu huyu kijana...na hao walomuibua huko alikokuwa ni ushambenga tu na kumchoresha binaadamu mwenzao mwenye kuhitaji msaada
Clous tv watamsaidia hapa wameweka picha ili vijana wengine wajifunze aisee.. Ngada siyo nzuri kabisa aisee
 
Back
Top Bottom