Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Kama ni Chiddy Benz huyo ni ukimwi huo, tusidanganyane mambo ya sembe hapa. Kama sembe basi na ukimwi upo juu yake pia.
 
haya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
Msamehe tu njaa ilimponza
 
Hapana...aliwasaidia wangapi alipokuwa kwenye kilele cha mafanikio
 
haya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
aliyaoimba kwenye ule wimbo yote ni ukweli
 
Ndio huyu alisema Lowasa Mgonjwa! Akatoa na nyimbo za kututukana Ukawa!! Leo kabak hv!? My take siasa zisivuruge undugu wetu kuna leo na kesho
namnukuu alichoimba..."ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha ukiwa ikulu" , aliimba vitu vya ukwel!
 
Dah! Siku za Dar es salaam stand up haziwezi kurudi tena, huwa kuna nafasi moja Tu huwa inatokea, Chid yule anafanya show moja ya Kilimanjaro award then T.I Kama msanii mkubwa toka Marekani anaalikwa kwenye utoaji tuzo ule, wakati unafanya show ya nguvu kwa ngoma zako kali Naitwa nani! Babe ft Ray C, T.I ananukuliwa akiwauliza wenyeji wake alokaa nao.... "Huyu Ni nani?"...anaambiwa huyo Ni mwana Hip Hop anayekimbiza bongo, Na baadaye unashinda tuzo, T.I mwenyewe anakupatia tuzo, Na uhakika uliambiwa jinsi T.I alivyouliza kuhusu wewe, Leo kina Diamond wakipata nafasi Kama hizo wanazitumia hapo hapo, Ni vipi ungefanya ngoma Na T.I wakati ule, bila shaka ungekua mbali, all in all madawa yamekupoteza, sidhani Kama utapata msaada kwenye muziki wako tena, Sana Sana makosa yako wacha yatumike Kama funzo kwa vijana wengine, Na wenyewe wasipojifunza kwako! Wacha yawakute Tu, hatuna namna....sorry Chid Benz, fulsa huwa Ni Mara moja Tu!
...inshort hufai kabisa kuwa kaka au baba kwenye hii dunia tunayoishi.Wewe ni aina ya watu very myopic,what if angekuwa ni member wa familia yako ungempa ushauri wa kipuuzi hivi?!,
Ni wangapi wanaanguka halafu wanasimama tena wanaendelea na maisha?,au imeandikwa wapi ukikosea maramoja huwezi kurudi juu tena?! nashangaa umeandika blabla nyingi ambazo hazina maana kabisa,halafu umepewa like za kutosha.!!,hii inaonesha ni jinsi gani jf siku hizi imetawaliwa na wakurupukaji,wasioweza kujipa hata dakika moja ya kutafakari jambo kwa umakini.
Inshort you are very selfish,na hao waliokupa hizo like,very short minded.
 
Ili tumsaidi huyu jamaa inabidi hatupe list ya maduka yake yote lah sivyo hafe hivyo hivyo maana hataki msaada
 
wataalam wa masuala ya afya wanasema ngono inampa mtu raha kias cha DOPE 80-120 UNITS sasa madawa yanampa dope kias cha unit 1200 plus plus so ndo mana kuacha madawa ni shida mana ni matam na yanaburudisha nerves mara kumi zaid ya papuchi..kama umenote mateja wengi si watu wa madem sana
 
Kavuna alichopanda na ni somo kwa wengine wote wanaotaka kujaribu maana ni balaa sana kwa kweli, Alianzia kwenye bangi na kuelekea kufaidi zaidi na huo unga...
 
itnohablost: 15614961 said:
Daaah. Unga noma sana
Hii kitu ni hatari sana, ndo maana Sheria ya mihadarati ni kali sana. Watu wamemshushia gunia la lawama yule Hakimu wa Moshi aliyempiga jamaa wa mirungi life sentence but haya madawa ni noma aisee.
 
Back
Top Bottom