squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Kama ni Chiddy Benz huyo ni ukimwi huo, tusidanganyane mambo ya sembe hapa. Kama sembe basi na ukimwi upo juu yake pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe tu njaa ilimponzahaya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
aliyaoimba kwenye ule wimbo yote ni ukwelihaya sasa FISIEM mkumbukeni msanii wenu maana mwanzo nilimkubal saaana ila kipind cha kampeni alitoa nyimbo ambayo alimtukana sana LOWASA tena matus ya nguoni na akatutus na UKAWA KIUKWELI NILICHUKIA SANA TOKA SIKU HYO HAD LEO SIMFAGILII TENA NAFKIR KIAS FULAN ILE LAANA ALIYOJIPALIA YA KUMTUKANA KIONGOZ WANGU NAYO IMECHANGIA
Kawa kama alliens
We jamaa wewe dah..ingawa kuna kaukweli but jamaa ana hali mbayaUtadhani aliens
mshahara wa dhambi ni mauti,.....
namnukuu alichoimba..."ukiwa mwizi uraiani huwezi kuacha ukiwa ikulu" , aliimba vitu vya ukwel!Ndio huyu alisema Lowasa Mgonjwa! Akatoa na nyimbo za kututukana Ukawa!! Leo kabak hv!? My take siasa zisivuruge undugu wetu kuna leo na kesho
mshahara wa dhambi ni mauti,.....
tusubiri impact yake........
lowasa mbona alitukanwa hadi na mbowe, au umesahau??Kama alimtukana hadi Lowassa huyu kilaza wacha akome
inaskitisha sanamshahara wa dhambi ni mauti,.....
tusubiri impact yake........
...inshort hufai kabisa kuwa kaka au baba kwenye hii dunia tunayoishi.Wewe ni aina ya watu very myopic,what if angekuwa ni member wa familia yako ungempa ushauri wa kipuuzi hivi?!,Dah! Siku za Dar es salaam stand up haziwezi kurudi tena, huwa kuna nafasi moja Tu huwa inatokea, Chid yule anafanya show moja ya Kilimanjaro award then T.I Kama msanii mkubwa toka Marekani anaalikwa kwenye utoaji tuzo ule, wakati unafanya show ya nguvu kwa ngoma zako kali Naitwa nani! Babe ft Ray C, T.I ananukuliwa akiwauliza wenyeji wake alokaa nao.... "Huyu Ni nani?"...anaambiwa huyo Ni mwana Hip Hop anayekimbiza bongo, Na baadaye unashinda tuzo, T.I mwenyewe anakupatia tuzo, Na uhakika uliambiwa jinsi T.I alivyouliza kuhusu wewe, Leo kina Diamond wakipata nafasi Kama hizo wanazitumia hapo hapo, Ni vipi ungefanya ngoma Na T.I wakati ule, bila shaka ungekua mbali, all in all madawa yamekupoteza, sidhani Kama utapata msaada kwenye muziki wako tena, Sana Sana makosa yako wacha yatumike Kama funzo kwa vijana wengine, Na wenyewe wasipojifunza kwako! Wacha yawakute Tu, hatuna namna....sorry Chid Benz, fulsa huwa Ni Mara moja Tu!
hii ndio imetisha zaidi aisee, dah!
mbona Ray C yeye alinenepa?
Hii kitu ni hatari sana, ndo maana Sheria ya mihadarati ni kali sana. Watu wamemshushia gunia la lawama yule Hakimu wa Moshi aliyempiga jamaa wa mirungi life sentence but haya madawa ni noma aisee.itnohablost: 15614961 said:Daaah. Unga noma sana
ibilisi akikukamata anahakikisha anakukamata kweli ili ufie dhambini,...malengo yake yatimie ya kupata wafuas wa kwenda nao jehanamu.........I inaskitisha sana