Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
T.I hajawahi kuhudhuria show/event yoyote ile ya Kilimanjaro Awards.T.I mkuu!
Daah inaelekea wewe ni mkamilifu unaishi kimakosa katika hii dunia ya wakosefuAmevuna alichokipanda wala sishangai sikatai.
ndo hivyoKama ndo hivyo basi hiyo ni kivumbi
Tabia mbayaChid bajaj[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nashangaammh anatisha .. hivi wanakimbiliaga nini kula unga wakati kuna starehe nyingine kibao?
Nzuri ni hiyo ya kutumia powder???Tabia mbaya
Cha ajabu hao wengine nao wanakula ungaWengine wajifunze kupitia yeye , na Mungu Baba WA Mbinguni awasamehe.
hahahaha kisa ngoja niingie u tubekuna siku nilimuona kwenye interview na salama nikajua anamuinterview chizi
alianza kuchoka kitambo naangalia hapa akihojiwa kalewa kabisa nadjhani ngadahahahaha kisa ngoja niingie u tube