Asante sana,ila fahamu maneno ya shombo hapa ndio nyumbani kwake.(leo najifanya kama sijakuona)Huwezi jua, pengine ni hausigeli wa pale
You're 100% RIGHT... ukisha-bug ukaingia; kutoka c kazi ya kitoto! Lakini ame-recover mapema hivi cuz' alikuwa hajidungi.Cut Them Some Slack Sio Rahis Kuquit Kama Unavyodhan Kweli Kutotumia Ni Ushujaa Ila Kuweza Kuacha Ni Ushujaa Zaid
Ipo ndo tunamalizia ku install software kwenye computer ndo tui launch. ChidBenz ata host kipindi siku hiyo!!Hivi hakuna jinsi ya kufomati ubongo wa hawa watumia madawa ili iwe kama wamezaliwa upya tuanze kuwafundisha kuanzia aeiou?
we jamaa umenifanya nicheke haswaaaHivi hakuna jinsi ya kufomati ubongo wa hawa watumia madawa ili iwe kama wamezaliwa upya tuanze kuwafundisha kuanzia aeiou?
Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa.
Kawa poa kabisa asije rudia tu, naona yupo Gym ya nyumbani kwa DIAMOND ni kweli nini wameshamsajili (WCB) ?????
Apige jani tu,,, akirudia madawa ndo bas tena
Sio hiyo gym tu, mazingira yote ya home kwake nayajua. ( kuna kazi nilishawahi kuifanya hapo)
Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted..
Kwani nikikuacha na mawazo yako ya kipwani kuna ambalo litakalonibadili uhalisia wangu ............ hadi nitumie muda wangu wa thamani kukudadavulia kwa kuwa wewe ni nani hasa ............. sio tu ufikiri ki pwani ikiwezekana sema kabisa mimi ni nani. ( halafu unipe mrejesho nini kimeongezeka kwenye akaunti yako ya benki )Mkuu wengine humu ni Watu wa Pwani hivyo basi katika hiyo sentensi yako kuwa " kuna Kazi ulishawahi kuifanya hapo " kiukweli umetuachia ukakasi mkubwa sana na kututia hofu kubwa mno. Kama vipi hebu " funguka " zaidi kiufafanuzi au tudadavulie vizuri tukuelewe umemaanisha nini tafadhali.
Kwani nikikuacha na mawazo yako ya kipwani kuna ambalo litakalonibadili uhalisia wangu ............ hadi nitumie muda wangu wa thamani kukudadavulia kwa kuwa wewe ni nani hasa ............. sio tu ufikiri ki pwani ikiwezekana sema kabisa mimi ni nani. ( halafu unipe mrejesho nini kimeongezeka kwenye akaunti yako ya benki )
Substitute ndio nini ????Bado nauliza Mkuu hiyo Kazi uliyoifanya hapo kwa Diamond na ambayo hutaki kutuambia ni ipi? au huwa unakuwa ni substitute wa Zari?