Muonekano mpya wa Chidi Benzino

Muonekano mpya wa Chidi Benzino

Huwa hawachelewi kurudi walipotoka.
Sembe baya sana.
 
Hivi hakuna jinsi ya kufomati ubongo wa hawa watumia madawa ili iwe kama wamezaliwa upya tuanze kuwafundisha kuanzia aeiou?
Ipo ndo tunamalizia ku install software kwenye computer ndo tui launch. ChidBenz ata host kipindi siku hiyo!!
 
Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted..
 
Mmh diamond kamkaribisha kwake kawaida ya mateja ni watu wakusaminisha ila asithamishe sink la dhahabu tu..story ikabadilika
 
Sio hiyo gym tu, mazingira yote ya home kwake nayajua. ( kuna kazi nilishawahi kuifanya hapo)

Mkuu wengine humu ni Watu wa Pwani hivyo basi katika hiyo sentensi yako kuwa " kuna Kazi ulishawahi kuifanya hapo " kiukweli umetuachia ukakasi mkubwa sana na kututia hofu kubwa mno. Kama vipi hebu " funguka " zaidi kiufafanuzi au tudadavulie vizuri tukuelewe umemaanisha nini tafadhali.
 
Kwani nikikuacha na mawazo yako ya kipwani kuna ambalo litakalonibadili uhalisia wangu ............ hadi nitumie muda wangu wa thamani kukudadavulia kwa kuwa wewe ni nani hasa ............. sio tu ufikiri ki pwani ikiwezekana sema kabisa mimi ni nani. ( halafu unipe mrejesho nini kimeongezeka kwenye akaunti yako ya benki )
 
Bado nauliza Mkuu hiyo Kazi uliyoifanya hapo kwa Diamond na ambayo hutaki kutuambia ni ipi? au huwa unakuwa ni substitute wa Zari?
 
Back
Top Bottom