Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Muonekano mpya wa Diamond Platnumz ni fire

Jamani huyu sio waziri ni msanii Kuna audience kaitarget soko lake ndo analoangalia na ukiona humuelewi basi haijaandikwa uwe shabiki wake
 
Hapa kapiga boko, haiwezekani mwanaume usuke rasta, hata viwanda vinavyotengeneza havijawahi kutengeneza rasta za wanaume, uu ni ushoga kabisa, kama haitoshi kaamua kuweka na heleni masikioni tena kwa kutoboa masikio, hakyanani huyu marinda hana....
 
Kakosea nini bado kuvaa kikuku na kipini chake kile ingekuwa powa sana.Labda ni kiki anatrend mitandao yote Africa kwa Siku hizi saba za wiki kila kitu Diamond Platanzania pekee yake.
 
Back
Top Bottom