Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuwa beaut anafaa sana kwa watumiaji wa mtandao pendwa dalisalama 071Msanii Diamond anapoelekea siko kabisa.
Kaanza kuvaa vikuku ameahamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu. View attachment 855476View attachment 855477
Atakuwa kapata mbanduaji mwenye chenjiMsanii Diamond anapoelekea siko kabisa.
Kaanza kuvaa vikuku ameahamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu. View attachment 855476View attachment 855477
vipi vikuku havai tena?Msanii Diamond anapoelekea siko kabisa.
Kaanza kuvaa vikuku ameahamia kwenye hereni ,daah anafeli sana ,tumeshampoteza huyu. View attachment 855476View attachment 855477
Hahahahahaha watu mna maneno dahhh[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Audience ya mashoga?Jamani huyu sio waziri ni msanii Kuna audience kaitarget soko lake ndo analoangalia na ukiona humuelewi basi haijaandikwa uwe shabiki wake
Unarwafi kijana, uko busy kutetea mashoga wenzako.unambwato nope tofauti ya za dukani na wanazosuka wamasai wamasai wamezifuga mkuu bwana