Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Idris Sultan ni miongoni mwa mastaa waliopata pesa nyingi wakiwa wadogo, na wakapata umaarufu wakiwa wadogo. Idris aliwahi kushiriki shindano la Big Brother na kitoka kitita cha mamilioni na akapata umaarufu zaidi kufikia hatua ya kuchuana na wasanii aliowakuta kwenye game kama kina Alikiba na Diamond platinumz. Idris Sultan amewai kutoka kimapenzi na wasanii kama Wema Sepetu na wengine kadhaa.
Jambo lililoshitua wengi ni muonekano wake wa Sasa ambapo anaonekana kukonda Sana. Je ni anafanya diet ya vyakula, au anaugonjwa, au ni msongo wa mawazo (Sonona)
Jambo lililoshitua wengi ni muonekano wake wa Sasa ambapo anaonekana kukonda Sana. Je ni anafanya diet ya vyakula, au anaugonjwa, au ni msongo wa mawazo (Sonona)