Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Umeme wa TANESCO.
Hayuko mbali kukumbana na kilichomsibu MC Chili. Na kuna sehemu mbovu WS tunajua aliingia hivyo nae hatotoboa.Idris Sultan ni miongoni mwa mastaa waliopata pesa nyingi wakiwa wadogo, na wakapata umaarufu wakiwa wadogo. Idris aliwahi kushiriki shindano la Big Brother na kitoka kitita cha mamilioni na akapata umaarufu zaidi kufikia hatua ya kuchuana na wasanii aliowakuta kwenye game kama kina Alikiba na Diamond platinumz. Idris Sultan amewai kutoka kimapenzi na wasanii kama Wema Sepetu na wengine kadhaa.
Jambo lililoshitua wengi ni muonekano wake wa Sasa ambapo anaonekana kukonda Sana. Je ni anafanya diet ya vyakula, au anaugonjwa, au ni msongo wa mawazo (Sonona)
Dogo inakuwaje?Minding your own business
is a full time job
Stay Employed.
Mkono wa nyaniIsije ikawa "NI KAZEZE NI KAZEZE NI KAZEZE".
Unataka anenepe kwani analiwa?anaonekana kukonda Sana
LOL 😁😁😂😂😂🤣🤣🤣Kwakimeo changu video haifunguki hebu screenshot picha yake yakukonda sana namie nisafishepo macho!
BTW: Si ilimradi Kijambio kipo ???? Au nasema uongo???
Acha ukorofi.
Cc Smart911
Hapo neno Kijambio ndo limekukosha mfyuuuu!😁LOL 😁😁😂😂😂🤣🤣🤣
Nimecheka nusu nife 😁😁😁Hapo neno Kijambio ndo limekukosha mfyuuuu!😁
Hapo mshipa wote umeshtuka sio??Nimecheka nusu nife 😁😁😁
Bila kijambio maisha yangekuwa magumu sana.
Mungu vibariki vijambio.