Muonekano mpya wa Idris Sultan wawashangaza watu; Je anapitia nini kwenye maisha?

Hayuko mbali kukumbana na kilichomsibu MC Chili. Na kuna sehemu mbovu WS tunajua aliingia hivyo nae hatotoboa.
 
Mademu wa mjini daslam hawawezi kukuacha salama , inasemekana pia mchizi ashaleft , ni kukaa kimya tuu ila mwamba mwendo unachechemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…