Muonekano mpya wa Leo Messi "La Pulga" wazua taaruki

Muonekano mpya wa Leo Messi "La Pulga" wazua taaruki

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Leo Messi, "La Pulga" Baba Thiago, Mchawi mweupe wa soka ameonyesha mashabiki muonekano mpya kuelekea msimu mpya ambapo ameweka blonde nywele zake hali hii imezua mjadala kwa mashabiki wke wengi wakichukuzwa na jambo ilo uku wengine wakimuthumu kwamba kaanza kamchezo kabaya cha kupumuliwa na wengine wakisema anazeeka vibaya
1469424348129.jpg
 
Sema hivi, hukupendezwa na mwonekano mpya wa king Messiah kama vile nami nilivyochukizwa kwa mwonekano wake. Ki ukweli jamaa hakuwa na tabia za hovyo kama hizo. Labda ukute hapo kuna mdhamini kamtaka aonekane hivyo...
 
Messi ni Messi hata awe na kipara anyoe kiduku makali yapo pale pale
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sema hivi, hukupendezwa na mwonekano mpya wa king Messiah kama vile nami nilivyochukizwa kwa mwonekano wake. Ki ukweli jamaa hakuwa na tabia za hovyo kama hizo. Labda ukute hapo kuna mdhamini kamtaka aonekane hivyo...
Kadri cku zina kwenda ana badilika alinaza na tattoo ya mguuni ya sura mtoto wke thiago cheki tatto alizonazo sasa. akaja midevu now nywele Sidhan km mdhamini ndo kamshauri ivyo
 
Hahahahah jamaa kaua eti huo ni mwili ama gazeti la Sani? N'way jamaa anazeeka vibaya sana mambo anayofanya sasa alipaswa afanye alivyokuwa anachipukia, umri unamtupa mkono kwenye soka, amezibukia ukubwan[emoji38][emoji38]
 
Mleta mada ni kilaza Chuki zako na Messi hazimbadilishi kuwa King na haibadilishi Mmoroco kuwa punga
 
Back
Top Bottom