Kadri cku zina kwenda ana badilika alinaza na tattoo ya mguuni ya sura mtoto wke thiago cheki tatto alizonazo sasa. akaja midevu now nywele Sidhan km mdhamini ndo kamshauri ivyoSema hivi, hukupendezwa na mwonekano mpya wa king Messiah kama vile nami nilivyochukizwa kwa mwonekano wake. Ki ukweli jamaa hakuwa na tabia za hovyo kama hizo. Labda ukute hapo kuna mdhamini kamtaka aonekane hivyo...
Messi ni mzungu tangu link?TAARUKI-: TAHARUKI
wazungu bhana, mwili una tatoo kama gazeti.. Huko kupumuliwa ??????*
Kupumliwa duhh..hilo neno..
Messi ni mzungu tangu lini?
Tangu link?? Usikurupuke kuandika ndugu yangu.... Sasa "tangu link" maana yake ni nini??? Ngoja bakita waone post yakoMessi ni mzungu tangu link?
Messi ni msambaa.. Usharidhika sasaMessi ni mzungu tangu link?
wape povu hao,naona hawaelewi!Messi ni Messi hata awe na kipara anyoe kiduku makali yapo pale pale
Nadhani alikuwa anamaanisha tangu liniTangu link?? Usikurupuke kuandika ndugu yangu.... Sasa "tangu link" maana yake ni nini??? Ngoja bakita waone post yako
King Messsi