Alubati JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 6,535 Reaction score 14,840 Jul 2, 2022 #1 Kweli kila jambo na wakati wake, umri umekwenda sasa ameamua kupunguza mambo mengi.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jul 2, 2022 #2 Ngoja Team Kiba waje
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Jul 2, 2022 #3 Msanii said: Ngoja Team Kiba waje Click to expand... Inamana kiba nae anajichubua
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 Jul 2, 2022 #4 Ulishawahi kuchoma muhindi kwenye gesi hizi taifa gesi Haihusiani na maada
Kingo Janta JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 319 Reaction score 262 Jul 2, 2022 #5 Umri umeenda alee wajukuu..
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Jul 2, 2022 #6 Nilitaka kumbeza ila nimekumbuka alivyotutumbuiza enzi hizo nimemsamehe bure. Jirani Jirani yangu nimekukosea nini? [emoji444] [emoji445] [emoji444]
Nilitaka kumbeza ila nimekumbuka alivyotutumbuiza enzi hizo nimemsamehe bure. Jirani Jirani yangu nimekukosea nini? [emoji444] [emoji445] [emoji444]
shekaina Member Joined Sep 30, 2021 Posts 13 Reaction score 22 Jul 2, 2022 #7 Mmh Ila amekuwa mbaya niseme ukweli!
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,926 Reaction score 17,880 Jul 2, 2022 #8 At her ages , kawa ka kinyago Cha kutishia watoto
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jul 2, 2022 #9 Yupo Na Rais Nyoshi El Sadaat
Kapumpuli JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,040 Reaction score 2,674 Jul 2, 2022 #10 Namba hazijawahi kudanganya.... Umri umeenda....
Achraf Hakimi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2010 Posts 943 Reaction score 1,944 Jul 2, 2022 #11 Msanii said: Ngoja Team Kiba waje Click to expand... 🤣🤣
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Jul 2, 2022 #12 Masikini..daah. sema majuto ni mjukuu
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 2, 2022 #13 Wadada wengi hutumia mkorogo We wagumie asubuhi na mapema Utajua uhalisia wao Ova
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jul 2, 2022 #14 Yesus! Kweli wakati sio milele, just imagine hapo ulipo iongezwe miaka 30 mbele..sijui utakuwaje...! Maisha hayana fairness hata kidogo.
Yesus! Kweli wakati sio milele, just imagine hapo ulipo iongezwe miaka 30 mbele..sijui utakuwaje...! Maisha hayana fairness hata kidogo.
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jul 2, 2022 #16 David Harvey said: View attachment 2279420 Click to expand... Umri huwa hausimami na wote tutazeeka
KateMiddleton JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 3,883 Reaction score 4,676 Jul 2, 2022 #17 Aisee masupplier wa mkorogo sio watu wazuri
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Jul 2, 2022 #18 Mchawi wa mwanamke ni muda tu.
Emen JF-Expert Member Joined Jun 22, 2021 Posts 2,069 Reaction score 3,516 Jul 2, 2022 #19 Ila sijui nani aliyeturoga waAfrica kuchukia rangi yetu,,,nahii bongo,congo ndio sana! [emoji1373]
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,208 Reaction score 14,143 Jul 2, 2022 #20 Hivi huyo wa pembeni sio Nyoshi El Sadaat?