Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Huyo jamaa pia wa pembeni yake aaacheKweli kila jambo na wakati wake, umri umekwenda sasa ameamua kupunguza mambo mengi.
View attachment 2279382
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa pia wa pembeni yake aaacheKweli kila jambo na wakati wake, umri umekwenda sasa ameamua kupunguza mambo mengi.
View attachment 2279382
Ana paka mkogho ndiyo Anavyo tamka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu nyosh mbna km anajichubua naye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mzuri???Mmh Ila amekuwa mbaya niseme ukweli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah makubwaaa lol.Zumaridi sio bibi chombo cha maana, engine bado nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahAna paka mkogho ndiyo Anavyo tamka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo Brazaman wa Kikongo hapo pembeni (kama sikosei ni Nyoshi El-Sadat huyo) na yeye ajiandae... mwenzie Jenerali Def Defao Matumona aliishia namna hii kwa mkorogo:Kweli kila jambo na wakati wake, umri umekwenda sasa ameamua kupunguza mambo mengi.
View attachment 2279382
Kwann wakongo wengi wanapenda kujichubuaa? KhaaahHuyo Brazaman wa Kikongo hapo pembeni (kama sikosei ni Nyoshi El-Sadat huyo) na yeye ajiandae... mwenzie Jenerali Def Defao Matumona aliishia namna hii kwa mkorogo:
View attachment 2285071
[emoji1787][emoji1787]Sura kama ngozi ya korodani vile
Mkongoman habebi zege wala halimi.Kwann wakongo wengi wanapenda kujichubuaa? Khaaah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we boya niko kwenye semina lakin nimecheka kifala sababu yakoKwa kweli kama kapigwa guruneti