Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Tuwe tunatumia angalau chembe ya busara. Huyu mama ni mtu mzima na huenda ana familia na watoto. Imagine wewe uingie JF ukute watu wanaandika upumbavu kama huu juu ya mama yako au mke wako. Mambo mengine huhitaji hata kutumia common sense!
Huyu mama humjui vizuri kwahiyo kaa kimya...
Hata kama mama yangu anafanya vitu vya ajabu siwezi kumvumilia.
Kanisani kwake ameunda crew la Wana kwaya la kupigana miti
 
Tuwe tunatumia angalau chembe ya busara. Huyu mama ni mtu mzima na huenda ana familia na watoto. Imagine wewe uingie JF ukute watu wanaandika upumbavu kama huu juu ya mama yako au mke wako. Mambo mengine huhitaji hata kutumia common sense!
mama anayejiheshimu hajichubui.
 
Nasikia congo hadi wanaume wanajipodoa?

Nawaza kama wale waasi wa Kivu Kaskazini nao huwa wanajipodoa
kule ni sehem ya fasion kama kunyoa denge kwa wanaume bongo[emoji16][emoji16][emoji16].

huyu kiazi hapa kajichubua mpaka director akamvisha gloves mikononi asiharibu video,maana tunhekiwa tunaona mihogo ya kichoma inachezacheza,kumbe mikono ya mkongo.
20220704_214735.jpg
 
Nilikuwa namtafuta sana huyu cerebrety RUIZA

Macerebrty wengine mliokuwa wazungu gafla mkumbuke hata Ruiza naye alipitamo.
FB_IMG_16572113810416160.jpg
 


Nakukumbusha Picture Hiyo Tayari Ipo JF

 
Wasanii wa bongo ukipata bomba la maji yenye pressure uwamwagilie kwa nguvu usoni hayo matope ya rangi yadondoke utaona sura zao halisi
 
Mbona amezeeka hivi?! Kweli kujichubua mwisho wake mbaya
 
dah haya ni mambo yanayofanya Wazungu na weupe wengine wazidi kutudharau watu weusi aka black people's.

Kama wenyewe tunaidharau rangi yetu na kuamua kujikoboa tuwe weupe kwanini tusidharaulike na kubaguliwa.

Dada zetu bakini na rangi zenu za asili, mkate makucha yetu muache kubandika makucha, mtoe hayo mawigi yenu vichwani, mnyoe nywele, msuke twende kilioni, msuke rasta og nk. mkishandwa kabisa nyoeni mapanki tu.
 
hapo kitambo kidogo.
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    31.3 KB · Views: 12
Back
Top Bottom