Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Mwanaume pesa na afya nzuri.

We hujaona vibabu vinapiga vibinti vigori?

Ila mwanamke sasa , kwa mfano hapo luiza anamtongoza nani saizi? labda kama yeye ndio anatongoza vijana wapenda vitonga.
Kwa hela gani atongoze vibenten?
Hapo azidi kuomba tu mume wake asiwe na kitu Cha pembeni.
Unajua kwa sura hiyo mwanamke anaweza kumaliza mwaka hajatongozwa.
 
Kwa hela gani atongoze vibenten?
Hapo azidi kuomba tu mume wake asiwe na kitu Cha pembeni.
Unajua kwa sura hiyo mwanamke anaweza kumaliza mwaka hajatongozwa.
[emoji3]
 
Back
Top Bottom