Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Yesus!
Kweli wakati sio milele, just imagine hapo ulipo iongezwe miaka 30 mbele..sijui utakuwaje...!

Maisha hayana fairness hata kidogo.
Aisee...
 
Na pia umri umesogea sana, kwa umri alionao sasa anaweza kuwa na wajukuu wawili watatu...
 
Mwanaume pesa na afya nzuri.

We hujaona vibabu vinapiga vibinti vigori?

Ila mwanamke sasa , kwa mfano hapo luiza anamtongoza nani saizi? labda kama yeye ndio anatongoza vijana wapenda vitonga.
Mrema ameoa bint mbichi
 
Kweli kila jambo na wakati wake,umri umekwenda sasa ,ameamua kupunguza mambo mengi.View attachment 2279382
Huyu sio umri, ni athari za kutumia mkorogo.

Na huyo jamaa pembeni yake anatumia vipodozi pia. Pole zao.

Ushauri wa bure:
Kama unataka urembo wa kudumu ni raisi sana, na waweza kuwa na 65yrs na kuwa kama 29yrs. Ni rais sana.

Anza mapema kufanya haya:
1. Mazoezi
2. Kunywa maji mengi, more than 5ltr kwa siku ama zaidi.
3. Kula vyakula vyenye virutubisho vingi mno kama:
A. Spinach
B. Kale
C. Carrots
D. Pilipili Hoho Nyekundu na Njano
E. Viazi vitamu
F. Maboga
G. Broccoli
H. Nyanya nzima iliyochemshwa kiaina
I. Samaki aina ya Sardines kwa kiswahili Dagaa.
J. Avocado
4. Kunywa Chai ya Green tea.
5. Kula Limao moja daily
5. Lala masaa 8 daily.

Fanya hivi kila siku.

Usitumie vitu hivi often ikiwezekana acha kabisa:
1. Energy drink or kinywaji chenye caffeine
2. Soda
3. Sugar
4. Processed foods kama sausage
5. Pombe
6. Usitumie vipodozi vyovyote zaidi ya Vaseline mafuta, sio cream.

Try kwa wiki 3, and thank me later.
 
Kuzeeka ni kuamua. Unaweza ku keep mwili wako at 30 age siku zote, Bila upasuaji
Nitaanza kutoa formula mtu akija DM

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom