Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

Muonekano mpya wa Luiza Mbutu baada ya kuacha kutumia mkorogo

😂😂
Wasanii wa bongo ukipata bomba la maji yenye pressure uwamwagilie kwa nguvu usoni hayo matope ya rangi yadondoke utaona sura zao halisi
😂😂 bila hivyo mtaishia kuwaona wife enu wabayaaa
 
dah haya ni mambo yanayofanya Wazungu na weupe wengine wazidi kutudharau watu weusi aka black people's.

Kama wenyewe tunaidharau rangi yetu na kuamua kujikoboa tuwe weupe kwanini tusidharaulike na kubaguliwa.

Dada zetu bakini na rangi zenu za asili, mkate makucha yetu muache kubandika makucha, mtoe hayo mawigi yenu vichwani, mnyoe nywele, msuke twende kilioni, msuke rasta og nk. mkishandwa kabisa nyoeni mapanki tu.
na nyie ndio chanzo

mnawakodolea sana weupe chausiku hamumuoni 😂😂
 
kila jambo na wakati wake, huyu bi mkubwa alijua kutupa raha, mgumba sasa amezaa tena kwafujo mapacha watatu wawili warembo kama mama yao na mmoja dume sura ya baba yake copyright eeh[emoji445][emoji441][emoji446][emoji443][emoji449][emoji448][emoji450]
 
Ni Luiza Mbutu au Amina Ngaruma(R.i.p)🤣🤣🤣

Back
Top Bottom