TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
No user found....au umeniingiza chaka nini?kama hujui ni bora ukae kimya sio vizuri
Acha ujinga basi we jamaaa...si ungeuliza kama imekosewa au vipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No user found....au umeniingiza chaka nini?kama hujui ni bora ukae kimya sio vizuri
No user found....au umeniingiza chaka nini?kama hujui ni bora ukae kimya sio vizuri
Matycoon hawa tunawasupply cha kupaka kutoka Congo wanapiga game mwanzo mwisho.
Halafu kama hana furaha vile? Kweli pesa sio kila kitu.
Mwambie Matola aniletee na mie nimpe wangu.
kwani ameshaishiwa nature power? hii kitu inatumiwa na vijana kwa mechi za nje na kwa masuger mummy tu, kama ni wako permanent umfundishe how tuperfom by nature.
Habari ndio hiyo huyo wako mpigishe pushup kavukavu atafikia tu viwango utakavyo.Hahahahaaaa. Lol nimekusikia.
Habari ndio hiyo huyo wako mpigishe pushup kavukavu atafikia tu viwango utakavyo.
Huyo mshauri atumie supu ya pweza na juice ya tende na haruwa.
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?Halafu kama hana furaha vile? Kweli pesa sio kila kitu.
No user found....au umeniingiza chaka nini?kama hujui ni bora ukae kimya sio vizuri
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?