Muonekano mpya wa mke wa Mengi, K-lyn ni noma

Muonekano mpya wa mke wa Mengi, K-lyn ni noma

Hahahaahaaa...
Sasa wazee waangalie tu watoto wazuri Kama amu ...
Wache wampe Matola ugali.
Kwani ugali kidogo basi! naexport mpaka USA kwa wale wanaosumbuliwa makaratasi dose ikiwafikia demu wa KiUSA anaongoza mwenyewe kuandikisha ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Kwani ugari kidogo basi! naexport mpaka USA kwa wale wanaosumbuliwa makaratasi dose ikiwafikia demu wa KiUSA anaongoza mwenyewe kuandikisha ndoa.

Hahahaaaaa.... ngoja nimshtue cousin wangu achangamkie hii kitu apate makaratasi
 
Haaaa haaaaa neno hilo!!.
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?
 
Huwa ni mzuri nampenda sana huyu dada lakn hyo blonde hapana
 
Back
Top Bottom