Muonekano mpya wa mke wa Mengi, K-lyn ni noma

Mmmh last week nilimuona naona amezeeka sasa kilichonifanya nijue ni yeye ni umbo lake na weaving 35 inch ila sura imechoka maybe sababu analea
 
Mwambie Matola aniletee na mie nimpe wangu.

kwani ameshaishiwa nature power? hii kitu inatumiwa na vijana kwa mechi za nje na kwa masuger mummy tu, kama ni wako permanent umfundishe how tuperfom by nature.
 
Last edited by a moderator:
kwani ameshaishiwa nature power? hii kitu inatumiwa na vijana kwa mechi za nje na kwa masuger mummy tu, kama ni wako permanent umfundishe how tuperfom by nature.

Hahahahaaaa. Lol nimekusikia.
 
Habari ndio hiyo huyo wako mpigishe pushup kavukavu atafikia tu viwango utakavyo.

Huyo mshauri atumie supu ya pweza na juice ya tende na haruwa.

Mmhhh nisije nikakimbia na pichu mkononi buuure
 
Halafu kama hana furaha vile? Kweli pesa sio kila kitu.
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?
 
Mtu akiwa busy sana na mambo ya erembo ...ndo hao wanaitwaga washamba wa mijini maana kila siku jitu lipendeze zaidi ya jana mwishoe linaonekana libibi
 
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?

Mbona povu? Makubwaaaa na wewe mbona huna furaha?
 
Too artificial because of too much makeups!
 
Nasikia mengi anakula tigo ya huyu binti sana ndio maana kawa kama -----
 
Alikuwa mzuri tu huyu dada
ameanza kuharibu natural yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…