FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
watu huwa wanashindwa kujitambua
Nwele gani hizo?
Alikuwa mzuri tu huyu dada
ameanza kuharibu natural yake.
Kwani ugali kidogo basi! naexport mpaka USA kwa wale wanaosumbuliwa makaratasi dose ikiwafikia demu wa KiUSA anaongoza mwenyewe kuandikisha ndoa.
Kwani ugari kidogo basi! naexport mpaka USA kwa wale wanaosumbuliwa makaratasi dose ikiwafikia demu wa KiUSA anaongoza mwenyewe kuandikisha ndoa.
Hahahaaaaa.... ngoja nimshtue cousin wangu achangamkie hii kitu apate makaratasi
Kwani ugari kidogo basi! naexport mpaka USA kwa wale wanaosumbuliwa makaratasi dose ikiwafikia demu wa KiUSA anaongoza mwenyewe kuandikisha ndoa.
Haya.......
Ujambo lakini?
Hii mtoto wakinyamwezi asipokushika mkono mwenyewe kwenda kuandikisha makaratasi wewe basi tena.
ni beatiful lakin
Wacha maneno yako wewe aliyekuambia hana furaha nani hiyo roho ya kwanini na itakuuwa shauri yako.Pata we huna hela hiyo furaha mbona huna?
Kuna wakati napaswa niwe naitest mwenyewe kuavoid expire date, ila umpime pressure kabisa huyo mbebs waako asije kukufia kifuani, hii kitu ni hatari siyo jokes.mie bukheri wa afya..
ile dawa na mie nahitaji nimpe baby wangu...uzee mwisho chalinze
Sana...mi huwa naona ni mmoja kati ya mamiss tz ambaye amejitahidi kukeep mwili wake