Muonekano mpya wa mke wa Mengi, K-lyn ni noma

Mzee Mengi ndio anapiga mzigo huu??? Aisee,,shikamoo pesa.
 
Hizi rangi za nywele huwa hazinibariki kabisa....sijui uzee maskini....
 
Hizi rangi za nywele huwa hazinibariki kabisa....sijui uzee maskini....

Hahaahaas Dina wala so uzer majority haziwapendezi japo wanan'ang'ania tu
 
Last edited by a moderator:
furaha hana. kukunwa hakunwi vizuri. ukimwi ataupata. freemason ataingia. sasa cha maana alichopata ni nini haswaa.
 
semeniiii weee...
usiku mlalie kagodoro kuu ku mwenzenu alalie mkifua wa mengi..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…