Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kwa mujibu wa hii habari me sifuatilii, all in all wasanii waache ushamba wa kubadilisha muonekano na kujifanya wamagharibi wakati wapo bongo. Kama unafanya Kazi utaonekana tu huhitaji kutumia nguvu kujionyesha.je unaamini huu ni mwonekano mpya wa RAYMond