Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

je unaamini huu ni mwonekano mpya wa RAYMond
Kwa mujibu wa hii habari me sifuatilii, all in all wasanii waache ushamba wa kubadilisha muonekano na kujifanya wamagharibi wakati wapo bongo. Kama unafanya Kazi utaonekana tu huhitaji kutumia nguvu kujionyesha.
 
Ndio nn sasa hii hawa wasanii au ndio anaowapiga vita mh makonda hawa
 
Kwa mujibu wa hii habari me sifuatilii, all in all wasanii waache ushamba wa kubadilisha muonekano na kujifanya wamagharibi wakati wapo bongo. Kama unafanya Kazi utaonekana tu huhitaji kutumia nguvu kujionyesha.
Uko sahihi si tabia njema.

Watu wanaibuka nakuanza kuponda bila kujifikilisha ameingia lini WASAFI na nywele urefu huo huchukua muda gani.

ila naweza amini kama mtoa habari angesema kipindi hicho hajatoka kwan ndio alisuka rasta.
 
Hiyo picha ya kwanza kama wa kike vile au [emoji165] yangu haiko sawa
 
Mtoto anasura ya mama yake na hii style anayokuja nayo mhhh awemakini na huo mji maana unakawaida yaku nanii wasanii
 
Uko sahihi si tabia njema.

Watu wanaibuka nakuanza kuponda bila kujifikilisha ameingia lini WASAFI na nywele urefu huo huchukua muda gani.

ila naweza amini kama mtoa habari angesema kipindi hicho hajatoka kwan ndio alisuka rasta.
Mkuu wiki iliyopita ndo aliweka hii style baada ya mashabiki kumponda amebadilisha fasta kuna post alipost IG akiwa na muonekano huo lakini kashazifuta
 
Mkuu hizo ni nywele zake au ameunga nywele?
 
Mkuu izo ameunga baada ya mashabiki kumponda ameziondoa
1470682502133.jpg
 
Duh kama mmoja wa mzuka wa thriller ya the wacko jacko
 
Anajiitaga qboyMsafi, huyo ndo designer wa WCB bt distym around hajampatia Raymond inabidi ajipange ili amlete kivingine ama abakie vilevile.
 
Uko sahihi si tabia njema.

Watu wanaibuka nakuanza kuponda bila kujifikilisha ameingia lini WASAFI na nywele urefu huo huchukua muda gani.

ila naweza amini kama mtoa habari angesema kipindi hicho hajatoka kwan ndio alisuka rasta.
Hiyo picha imepigwa wcb studio na rasta zinashonewa si lazima ufuge unesahau lil Wayne alipofungwa alikata rasta alipotoka akazishonea???
 
Back
Top Bottom