Kwa mujibu wa hii habari me sifuatilii, all in all wasanii waache ushamba wa kubadilisha muonekano na kujifanya wamagharibi wakati wapo bongo. Kama unafanya Kazi utaonekana tu huhitaji kutumia nguvu kujionyesha.je unaamini huu ni mwonekano mpya wa RAYMond
Paul Makonda njoo uchukue Kiki hapa! Kuna kijana ameingia anga zako!
Uko sahihi si tabia njema.Kwa mujibu wa hii habari me sifuatilii, all in all wasanii waache ushamba wa kubadilisha muonekano na kujifanya wamagharibi wakati wapo bongo. Kama unafanya Kazi utaonekana tu huhitaji kutumia nguvu kujionyesha.
Mkuu wiki iliyopita ndo aliweka hii style baada ya mashabiki kumponda amebadilisha fasta kuna post alipost IG akiwa na muonekano huo lakini kashazifutaUko sahihi si tabia njema.
Watu wanaibuka nakuanza kuponda bila kujifikilisha ameingia lini WASAFI na nywele urefu huo huchukua muda gani.
ila naweza amini kama mtoa habari angesema kipindi hicho hajatoka kwan ndio alisuka rasta.
Mkuu hizo ni nywele zake au ameunga nywele?Mkuu wiki iliyopita ndo aliweka hii style baada ya mashabiki kumponda amebadilisha fasta kuna post alipost IG akiwa na muonekano huo lakini kashazifuta
Mkuu izo ameunga baada ya mashabiki kumponda ameziondoaMkuu hizo ni nywele zake au ameunga nywele?
Hiyo picha imepigwa wcb studio na rasta zinashonewa si lazima ufuge unesahau lil Wayne alipofungwa alikata rasta alipotoka akazishonea???Uko sahihi si tabia njema.
Watu wanaibuka nakuanza kuponda bila kujifikilisha ameingia lini WASAFI na nywele urefu huo huchukua muda gani.
ila naweza amini kama mtoa habari angesema kipindi hicho hajatoka kwan ndio alisuka rasta.
Mwambie anyoe huyo bwabwa mwenzioHuu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
Kama wewe ni bwabwa usifikiri kila mtu ni bwabwa!Mwambie anyoe huyo bwabwa mwenzio