Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
- Thread starter
-
- #21
Mwaka mpya na mambo mapya banaAmepiga hatua kutoka flat screen mpk kwenye wowowo
Kabisa lazima ubadilike mtuMwaka mpya na mambo mapya bana
Heheheh kafanya transplanthahahah kweli wowowo inawatesa watu kisaikolojia,amefanya plasic surgery au edditing
hahahahaha,Nahisi mleta mada ndiyo Ruby mwenyewe.
kaka bila wowowo atakupenda nani mjini hapa, lazima wajibust kidogo, inaitwa (Kujiongeza)Juzi tu kwenye welcome first year pale mlimani city ilikuwa hola leo pame jaa jaa. Hayo ni magodoro. Hivi kwanini wanawake hawajiamini?