Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Mchina hashindwi kitu, ata wema akitaka guu la bia is possible
 
Mi nnavyojua ruby ni programming language sasa sijui hapa mna maanisha nini...
 
Juzi tu kwenye welcome first year pale mlimani city ilikuwa hola leo pame jaa jaa. Hayo ni magodoro. Hivi kwanini wanawake hawajiamini?
 
Juzi tu kwenye welcome first year pale mlimani city ilikuwa hola leo pame jaa jaa. Hayo ni magodoro. Hivi kwanini wanawake hawajiamini?
kaka bila wowowo atakupenda nani mjini hapa, lazima wajibust kidogo, inaitwa (Kujiongeza)
 
Back
Top Bottom