Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Muonekano mpya wa Ruby "Mwanamke wowowo bana"

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Baada ya kimya cha mda mrefu ruby amukuja na muonekano mpya wa kimaumbile ambao unashawishi kumtazama kila akipita mbele yako, hakika zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo

 
hahahah kweli wowowo inawatesa watu kisaikolojia,amefanya plasic surgery au edditing
 
Kama sio editing,bas itakua the succesfull butt lift sugery ever perfomed in the world ukitoa ya nick minaj,na gharama yake ni zaid ya mil30
 
Hili ndo kaniacha hoi
 

Attachments

  • IMG_20180106_132715_407.jpg
    IMG_20180106_132715_407.jpg
    9.3 KB · Views: 76
Kama ni lake hongera mana isije kuwa ameazima!!!
 
Tabu yote ya nini hadi kufanya surgery sijui, hivi binadamu kwa nini hatujikubali? na kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa alivyotuumba? Maana yeye anapendezwa na jinsi tulivyo, kwa hiyo tunapojibadilisha maana tunaukosoa uumbaji wake, kweli Mungu atatuadhibu sana.
Tujikubali jinsi tulivyo kwa kumpendeza Mungu na sio kumpendeza binadamu.
 
Back
Top Bottom