Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Nje ya Tz hakuongozwi na Magufuli, tunaongelea nchi ya Tz ewe usie mzalendo.
 
Kama sikosei mradi huu ulianzishwa na kipindi cha awamu ya nne.........wamu ya tano wamemalizia mradi wenyewe....pongezi ziende kwao wote.
Hahahahah mnaopinga harakati za jpm mtapata SHIDA SANA.Yani unaanza hadi kuangaika nani wa kumpa pongezi hahahahaha.Mradi azindue jpm,pesa zitoke kwenye awamu yake bado huoni nani wakupongezwa?
 
Hahahahaha mi nilijua hizi tabu ziko Tanzania tu,kumbe hata huko wanakoangaika na technologies kuna shida.sasa wanapinga nini haya yanayofanyika tz?
Hahah!! Nahisi kakimbia hata kunijibu.
 
Hahahahah mnaopinga harakati za jpm mtapata SHIDA SANA.Yani unaanza hadi kuangaika nani wa kumpa pongezi hahahahaha.Mradi azindue jpm,pesa zitoke kwenye awamu yake bado huoni nani wakupongezwa?
Mbona kama ujanielewa.....nimesema ....kama sikosei ......mbwembwe zote za nini sasa....kama watu wote wangekuwa wanapenda sifa kama wewe si itakuwa shida...
 
Tanzania bado hatuna flyover, lile la pale Tazara ni Daraja tu. Kuliita daraja "flyover" ni mbwembwe tu za kishamba kishamba.

Kila saa utasikia Tazara flyover, Tazara flyover,..... as if Dar es Salaam ni sehemu pekee ya Tanzania. Nchi hii inahitaji vitu vingi sana muhimu kwa ajili ya Watanzania wote kuliko hilo daraja la Tazara.
 
Nawaeleza nyinyi mnaodhani hii miundombinu ndio itawafanya mtawale milele.
Jibu nilichokuuliza kutokana na maelezo yako usikwepe swali.

Hata CDM leo watawale awatoweza kumaliza changamoto au kuridhisha kila takwa(mahitaji) ya kila mtanzania.
 
Lack of international standards.Nashukuru mungu kwa kuniwezesha kutembea duniani japo kidogo nkatoa tongotongo.
 
wasikukatishe tamaa , kwa level ya nchi yetu hiyo flyover tosha ndugu : Ya ubungo itakuwa double flyover. JPM oyeee
 
Jibu nilichokuuliza kutokana na maelezo yako usikwepe swali.

Hata CDM leo watawale awatoweza kumaliza changamoto au kuridhisha kila takwa(mahitaji) ya kila mtanzania.
Usilinganishe Ulaya na sisi mataifa ombaomba ambao hata milo mitatu kwa siku ni shida.
 
Usilinganishe Ulaya na sisi mataifa ombaomba ambao hata milo mitatu kwa siku ni shida.
Binafsi sikulinganisha ulaya na Tanzania ila wewe ndio umelinganisha fly over zao na ukosefu wa ajira.

Ndio maana nilikuuliza kumbe unajua hata Ulaya kuna changamoto, Kwani Tanzania ni nani isiwe na changamoto?
 
mbona haueleweki chief!
huyo ndio MAGUFULI au hiyo ndio TAZARA FLY OVER!
 
Flyover siyo daraja. Kwa kiswahili, flyover ni barabara ya juu. Halafu kuna overpass, bridges na interchange. Ile ya TAZARA kama hutaki kuliita daraja, basi ni afadhali uite overpass kuliko kusema ni flyover.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…