Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Subirini muanze kulipia kama kigamboni ndo musifie vizuri
 
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

View attachment 813205
Juu ni ujinga na ujuha,

Unaweka flyover moja inayokwenda kumwaga gari zote pasipo na barabara nyingine zaidi ya hiyo moja.
Ujinga Wa chato mnapeleka Dar es salaam utadharani kuna punda zinatumia taa za barabarani kuvuka.

Piga masterplan ya barabara moja inayotoka Pugu unakwenda kuitupa mbele huko karibia na Bagamoyo unatoa outer na feeder roads.

Kitu simple sana ila Kwa sababu ni sifa za kipumbavu mnatafuta ni poa, mtazipata Kwa wajinga wenzenu
 
Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.
Hicho hata siyo chetu ni msaada wa wajapan. Wengetupa fedha halafu wakandarasi wetu wajenge tungelikuwa na cha kujivunia.
 
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

View attachment 813205
Nafikiri hii ya kwetu inaitwa interchange na si fly over
 
Acha mikwara, chuki iko wapi?
Yaani sasa hivi ukijaribu kuandika au kuongea uhalisia unaambiwa una chuki na serikali au ww ni chadema.
SIJUI TUMEPATWA NA NINI!

Mtoa mada hajui kuwa hizo gari zitakazo pita hapo ndio zitaenda kupiga foleni ya hatari pale mataa chan'gombe na kelele zitaanza upya tena. bila kusahau mtu anatokea mjini kwenda BUGURUNI lazima asubiri tena kwa ajili ya gari zakutoka TAIFA.
 
Jibu nilichokuuliza kutokana na maelezo yako usikwepe swali.

Hata CDM leo watawale awatoweza kumaliza changamoto au kuridhisha kila takwa(mahitaji) ya kila mtanzania.
Na hii ndio hoja ya mcng,Kenya kuna changamoto ya ajira lkn hawaachi kujenga miundombinu,huko marekani nk kote kuna changamoto za kutosha lkn hawaachi kujenga miundombinu.Mattz haysishi hata siku moja kuanzia ngaz ya mtu mmoja,familia,ukoo,kijiji...hadi taifa.
 
Na hii ndio hoja ya mcng,Kenya kuna changamoto ya ajira lkn hawaachi kujenga miundombinu,huko marekani nk kote kuna changamoto za kutosha lkn hawaachi kujenga miundombinu.Mattz haysishi hata siku moja kuanzia ngaz ya mtu mmoja,familia,ukoo,kijiji...hadi taifa.
Nakubaliana na wewe mkuu.
 
View attachment 813233

Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Kwani maana ya "to fly over" ni nini mkuu.Maana yake ni "kupita juu ya." Kwa hiyo hata daraja ni flyover kwa kuwa linapita juu ya maji na nfact hata flyover ni daraja .
Ile ya Ubongo inayotoka kwenye kituo cha DART kwenda kwenye kituo cha mabasi Ubungo ni flyover pia!Kwa maana hiyo uliyotuletea ni
flyover yes,lakini ya TAZARA pia ni flyover kwa kuwa inapita juu ya barabara!Tofauti kati ya zile flyovers ulizotuletea kwenye picha na ya TAZARA ni kwamba uliyotuletea represents many flyovers or passovers.Acheni ushamba jamani.

Usisahau pia kwamba flyovers zinajengwa out of need.Sisi bado hatuna idadi ya magari kubwa kiasi cha kuhitaji
ma-flyover uliyotuletea mkuu.

Lakini,si afadhali Magufuli hata hiyo flyover moja tumeiona,na bado zitajengwa zingine,mbona hatukuwahi kuona huko nyuma hata flyover moja,si walikuwa wanafuja tu hela za Watanzania,tuonyeshe appreciation jamani.
 
Huko Ulaya na kwingineko wana miundombinu mizuri lakini kila siku waanandamana kudai ajira, nyongeza za mishahara,kupanda kwa gharama za maisha, n.k


Watu wanapunguzwa makazini, vijana wanamaliza vyuo hawana ajira, watumishi wanasahaulika, wavuvi wanalia, wakulima wanalia, n.k nyie mnaendekeza ushamba tu.

Endeleeni kupuuza maendeleo ya watu mtakuja kuona matokeo yake maana mnafikiri Tanzania ni kisiwa.

Afya ya ubongo ..asante mkuu
 
Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.
Kwani ulifikiri flyover kwa kiswahili ni nini?? Umbumbumbu unakusumbua mkuu!!
 
Mleta mada umewahi kutoka nje ya Tanzania? Kwanza ile sidhani kama ni flyover wala huwezi kuiita ni interchange. Kiuhalisia lile ni daraja. Lakini tunavyopiga kelele utadhani tumefanya maajabu katika Dunia.

Vitu vidogo kama hivyo vinatakiwa kujengwa bila ya kelele wala matangazo maana ni vya kawaida mno.

Kama huwezi kwenda mbali, nenda hata hapo Nairobi, ukaone zilizopo na zinazojengwa bila kelele.
Umbumbumbu unakusumbua kwani flyover bridge ni nini kwa kiswahili?
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Mkuu mbona una bando[emoji23]
au bando ni basic need sikuhizi.
BTW kuna watu hawana hela sio sisi mkuu tunapata na bando la kubishania huku
 
Ha ha ha.. Jibu unalo kumbe.. kwamba hizo zimepishana.. ya Tazara ni daraja, maana ni Nyerere road tuu inayopita juu.. Hapo sio kudharau chetu Mkuu.. Tunajivunia kupata daraja Tazara..
jifunze tofauti kati ya flyover na bridge...usipende kuwa mbishi sana!!
 
Back
Top Bottom