Msakila KABENDE
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 510
- 314
Kwa nchi yetu inatufaa, heko sana JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora ngosha walau kajenga daraja, angekuwa yule kubwa la mafisadi mliyemtaka tusingeambulia CHOCHOTE!View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Juu ni ujinga na ujuha,TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Hicho hata siyo chetu ni msaada wa wajapan. Wengetupa fedha halafu wakandarasi wetu wajenge tungelikuwa na cha kujivunia.Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.
Nafikiri hii ya kwetu inaitwa interchange na si fly overTAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Yaani sasa hivi ukijaribu kuandika au kuongea uhalisia unaambiwa una chuki na serikali au ww ni chadema.Acha mikwara, chuki iko wapi?
Na hii ndio hoja ya mcng,Kenya kuna changamoto ya ajira lkn hawaachi kujenga miundombinu,huko marekani nk kote kuna changamoto za kutosha lkn hawaachi kujenga miundombinu.Mattz haysishi hata siku moja kuanzia ngaz ya mtu mmoja,familia,ukoo,kijiji...hadi taifa.Jibu nilichokuuliza kutokana na maelezo yako usikwepe swali.
Hata CDM leo watawale awatoweza kumaliza changamoto au kuridhisha kila takwa(mahitaji) ya kila mtanzania.
Nakubaliana na wewe mkuu.Na hii ndio hoja ya mcng,Kenya kuna changamoto ya ajira lkn hawaachi kujenga miundombinu,huko marekani nk kote kuna changamoto za kutosha lkn hawaachi kujenga miundombinu.Mattz haysishi hata siku moja kuanzia ngaz ya mtu mmoja,familia,ukoo,kijiji...hadi taifa.
Kwani maana ya "to fly over" ni nini mkuu.Maana yake ni "kupita juu ya." Kwa hiyo hata daraja ni flyover kwa kuwa linapita juu ya maji na nfact hata flyover ni daraja .View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
[emoji110]Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Huko Ulaya na kwingineko wana miundombinu mizuri lakini kila siku waanandamana kudai ajira, nyongeza za mishahara,kupanda kwa gharama za maisha, n.k
Watu wanapunguzwa makazini, vijana wanamaliza vyuo hawana ajira, watumishi wanasahaulika, wavuvi wanalia, wakulima wanalia, n.k nyie mnaendekeza ushamba tu.
Endeleeni kupuuza maendeleo ya watu mtakuja kuona matokeo yake maana mnafikiri Tanzania ni kisiwa.
Kwani ulifikiri flyover kwa kiswahili ni nini?? Umbumbumbu unakusumbua mkuu!!Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.
Umbumbumbu unakusumbua kwani flyover bridge ni nini kwa kiswahili?Mleta mada umewahi kutoka nje ya Tanzania? Kwanza ile sidhani kama ni flyover wala huwezi kuiita ni interchange. Kiuhalisia lile ni daraja. Lakini tunavyopiga kelele utadhani tumefanya maajabu katika Dunia.
Vitu vidogo kama hivyo vinatakiwa kujengwa bila ya kelele wala matangazo maana ni vya kawaida mno.
Kama huwezi kwenda mbali, nenda hata hapo Nairobi, ukaone zilizopo na zinazojengwa bila kelele.
Hahahahaa,.mbona flyoverView attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Mkuu mbona una bando[emoji23]Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
jifunze tofauti kati ya flyover na bridge...usipende kuwa mbishi sana!!Ha ha ha.. Jibu unalo kumbe.. kwamba hizo zimepishana.. ya Tazara ni daraja, maana ni Nyerere road tuu inayopita juu.. Hapo sio kudharau chetu Mkuu.. Tunajivunia kupata daraja Tazara..
View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..